Author: Kaka Mkubwa

Ilipoishia “Scola nijibu alikuja Mgeni si ndiyo?” Nilimuuliza tena baada  ya kuona alikuwa hanipi jibu  “Lakini Dada..” alisema Scola, nikahisi kuna jambo  “Sitaki cha lakini nataka…

Ilipoishia “Lakini Mosses mbona hukuniambia kama unafungua Biashara?  Unafikiria ndani ya huo mwezi Mimi na Mama tutakuwa tunaishi  wapi?” Nilimuuliza Mosses  “Sasa Jacklin unafikiria pesa inahifadhiwa…

Ilipoishia “Umenisaliti eeh?” Aliuliza Mosses kama kawaida yake alikuwa  na tabia ya wivu sana  “Siwezi kukusaliti Mosses, unanijuwa vizuri. Sina ujanja  kwako” nilisema lakini bila kumaanisha…

Ilipoishia “Lakini sikushauri kabisa kwenda huko Mzee Kwasasa yupo Macho  angalau anajisikia vizuri mgesubiria kidogo basi” alisema  Dokta Simon “Mimi ni Baba yake Osman, najuwa nini…

Ilipoishia “Ndiyo! Unapaswa kukubali kuolewa na Osman ili apone na  afanyiwe upasuaji wa kupandikiza figo” Mama alirudia kauli  yake, akili yangu ilihama na kumuwaza Mosses, maneno …

Ilipoishia “Unaweza ukapata figo, ukapata kila kitu lakini huwezi  kuuondoa mfadhahiko alionao Mwanao. Kitu cha kwanza ni kumuondolea mfadhahiko Osman ili kumuandaa kwa ajili ya  upasuaji…

Ilipoishia “Yote yaliyo mema, mazuri na yenye uelekeo mzuri zaidi, muda  siyo mrefu maono yangu yatadhihirika” Sikutaka kuendelea  kumuuliza, nilimwambia  “Sawa Mama nasubiria hayo Mema, nipo…

Ilipoishia “Sikia Dokta Simon, naomba hili jambo liwe siri Baina yetu.  Baba yangu asijuwe chochote wakati ambao tunatafuta Figo kwa  ajili ya kunipandikiza” Alisema Osman  “Naweza…

Ilipoishia “Usijali Jacklin nipo kwa ajili yako mara zote” alisema  Mosses na kunifanya nitabasamu kwa uchovu, shughuli ilikuwa  pevu na vile nimetoka kuumwa basi nilichoka sana…