Subscribe to Updates
Get the latest updates from Kijiweni.
Author: Mhariri
Toleo la 17 la mashindano ya Ulaya kwa ngazi ya timu za taifa inatarajiwa kuanza kutimua vumbi kuanzia tarehe 14/06/2024 mpaka tarehe 14/07/2024 ambapo mwenyeji wa…
Mataifa ya Afrika yataanza tena safari yao ya kufuzu kwa Kombe la Dunia la FIFA 2026 wiki ijayo. Mechi ya raundi ya 3 na ya 4…
Saido akiwa Yanga iliishi maisha yenye furaha muda wote, aliheshimika na kuimbwa Kwa melodi tamu zisizomchosha masikio, melodi zilizoisindikizwa na nickname ya “godfather wa Bujumbura”, akiwa…
Huenda hii ndio vita yenye mvuto zaidi inayosubiriwa kati ya Feisal Salum ‘Fei Toto’ wa Azam FC na Stephane Aziz Ki wa Yanga ambao wote hadi…
Ligi Kuu Tanzania Bara mzunguko wa pili wa funga kazi unatarajiwa kuwa Mei 28 2024 kwa kila timu kusaka pointi tatu muhimu ndani ya uwanja. Ipo…
Swali langu ni dogo sana kuhusu Azam FC kukosa ubingwa wa Ligi Kuu. Kama tunaitazama Azam FC haina mvuto kwa upande wa KIBIASHARA Sasa hua tunatumiaga…
Kote duniani biashara ya mpira ndivyo ilivyo mchezaji ni kama mfanya biashara tu siku bidhaa yake ikiwa poa ndio nyakati ambayo hua anatafuta mteja ambaye ataifikia…
Mambo vipi wana Kijiweni? Nimefurahi sana kuwa na nyie kuanzia sehemu ya kwanza mpaka sehemu ya 15 ya Riwaya ya KOTI JEUSI na najua kuwa wengi…
Tuko katika kipindi ambacho ligi mbalimbali duniani zinaelekea ukingoni huku zipo ligi ambazo mabingwa tayari wamekwishajulikana lakini zipo ligi ambazo mabingwa bado hawajajulikana na ndio kipindi…
Wengi wamekua wakiamini kuwa ni kama imekuwa kama dharau kwa mzawa kocha Juma Mgunda kila timu inapopoteana (mwendelezo mbovu) na makocha wa kigeni kutimuliwa au kuondoka…