Subscribe to Updates
Get the latest updates from Kijiweni.
Author: David Mohamed
Licha ya USM Alger kuibuka na ushindi wa mabao 2-1 wakiwa ugenini kwenye mchezo wa fainali ya kwanza ya Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya Yanga,…
Baada ya Singida Big Stars kujihakikisha nafasi ya kucheza michuano ya kimataifa kwa msimu ujao, tayari mabosi wa timu hiyo wako kwenye mazungumzo na kiungo wa…
Simba SC ipo sokoni kuangalia silaha za kuondoa aibu kwa msimu ujao na unyonge wa mashabiki wanaoupitia kwa msimu huu, ikidondosha mataji yote, tayari imetua nchini…
Kuelekea Fainali ya CAF, Mjumbe wa kamati ya utendaji ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Alhaji Msafiri Ahmed Mgoyi ameteuliwa kuwa kamishna wa mechi…
Misingi ya kubeti inajumuisha kanuni na mbinu ambazo zinaweza kusaidia kuboresha uwezekano wako wa kufanikiwa katika shughuli za kubeti. Hapa chini nimeorodhesha misingi muhimu ya kuzingatia:…
Katika muktadha wa kubeti, “mikeka ya handicap” inarejelea aina fulani ya dau au chaguo ambalo linawekwa kwenye mechi au tukio la michezo ili kusawazisha upendeleo kati…
Mikeka ya Moto! Kubeti katika Soka ni mchakato wa kuweka dau au kufanya utabiri kuhusu matokeo ya mechi za soka na kujaribu kutabiri matokeo sahihi ili…
Taarifa za kiungo mshambuliaji, Hassan Dilunga kuhusishwa kwenye usajili wa msimu ujao wa Ligi Kuu Bara na JKT Tanzania huenda mambo yakabadilika kwani mchezaji huyo anaweza…
Rais Samia Suluhu Hassan ameahidi kutoa Sh20 milioni kwa kila bao la ushindi kwa timu ya Yanga ambayo imetinga fainali za kombe la Shirikisho jana Jumatano…
HISTORIA Imeandikwa!. Ndivyo unaweza kusema baada ya klabu ya Yanga kuingia fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika kwa mara ya kwanza ikiwa ugenini katika Uwanja wa…