Subscribe to Updates
Get the latest updates from Kijiweni.
Author: David Mohamed
Rais Samia Suluhu Hassan ameilipia klabu ya Yanga ndege maalumu ya kuwapeleka mkoani Mbeya kucheza michezo yao miwili ya Ligi Kuu Bara kutokana na mwingiliano wa…
Msafara wa wachezaji, viongozi wa serikali na wa klabu ya Young Africans SC (Yanga SC) pamoja na baadhi ya mashabiki umewasili salama nchini Algeria tayari kwa…
Ni rahisi kusema Simba wamezidiwa tena ujanja baada ya kipa wanaodaiwa kumtaka Washington Arubi kutoka Marumo Gallants kusaini timu nyingine. Arubi alionyesha kiwango cha juu wakati…
Kocha Mkuu wa Yanga Nasreddine Nabi amevunja ukimya juu ya matumizi ya winga Bernard Morrison akisema Mghana huyo hana pumzi ya kutosha kucheza muda mrefu uwanjani.…
Daktari Mkuu wa Simba, Edwin Kagabo ameshusha presha kwa mashabiki wa timu hiyo kuhusiana na hali ya kipa, Aishi Manula aliyeko nchini Afrika Kusini kwa ajili…
Mshambuliaji kinda wa Azam FC, Abdul Sopu amesema kwa sasa wao kama wachezaji wanafanya maandalizi ya kumaliza msimu kwa kushinda mechi zilizosalia huku akimweka kiporo kipa…
Zilikuwepo taarifa za straika wa Simba, Moses Phiri kutaka kusepa kutokana na kushindwa kupata nafasi kikosi cha kwanza baada ya kutoka kuuguza majeraha, upepo umebadilika staa…
Kikosi cha Yanga SC leo Juni Mosi kimeondoka nchini kwenda Algeria kwa ajili ya kucheza mchezo wa marudiano ya fainali ya Kombe la Shirikisho dhidi ya…
Taarifa mbalimbali zimekuwa zikisema kutakuwa na ugumu wa Yanga kumzuia Fiston Mayele kuondoka baada ya msimu huu kumalizika, huku gazeti kubwa la Far Post la Afrika…
Ndege aina ya Boeing 787-8 Dreamliner yenye uwezo wa kubeba abiria 260 ndiyo itakayowabeba wachezaji wa Yanga na mashabiki kwenda Algiers nchini Algeria kwa ajili ya…