Subscribe to Updates
Get the latest updates from Kijiweni.
Author: Cosmasy Choga
Waswahili tunasema Soka na Waingreza nao hivyo hivyo, tofauti ni hetufi tu. Soka au kwa lugha nyingine mpira wa miguu ni burudani ambayo ina watu wengi…
Soka ni mchezo wenye misingi yake ya kiutawala katika taifa hadi kidunia. Soka limekosa majeshi tu na mwisho kuwa kama mataifa mengine yalivyo na kuendeshwa.Katika takwimu…
Tukiwa shule tulifundishwa nidhamu,nidhamu hiyo ilijumlisha na kuomba ruhusa maalum kwa mwalimu wa darasa endapo una tatizo lolote ambalo linakutaka wewe uende nyumbani,kama mwalimu wa darasa…
Kifo kipo katika miguu tunatembea nacho,Siyo kwamba tunatembea nacho tu katika miguu tu pengine tunasafiri nacho katika vyombo vya majini,angani na barabarani. Hadithi inapokuwa tamu kwenye…
Mwaka 2018 nikiwa nimetulia zangu napekua mambo Google kama ilivyo desturi yangu kufanya hivyo huku nikiwa nimeweka Earphone zangu masikioni kusikiliza redio ambapo kipindi cha michezo…
Uwekezaji ni njia ya kufanya kitu ama fedha kuzaa fedha zaidi na zaidi. Ili uwe mwekezaji unapaswa kuwa na shughuli inayokuingizia kipato halafu ndipo unaweza kuwekeza…
Kuna mtu aliishi mlimani,alikuwa na sanamu kwa kawaida aliicha mbele ya nyumba yake.Siku moja mtu kutoka mjini alipitia eneo hilo na kuona sanamu.Aliuliza kama ilikuwa ya…
Bila njia hakuna kwenda,bila ukweli hakuna kujua,bila uzima hakuna kuishi. Ukweli na uzima ni muhimu, Kusifiwa kusingetuletea shida kama tusingekuwa tunajisifu sisi wenyewe badala ya kusubiri…
Yeyote aliyekujua ukiwa mtoto mdogo hatakuheshimu ukiwa mkubwa.Ni methali ya kiarabu,Kwa ufupi mazoea huleta dharau,mazoea huzaa hata wivu. Wagiriki wa zamani walizungumzia mtu mwenye shamba la…
Mchezo maarufu zaidi ulimwenguni, kandanda huunganisha watu katika nchi, lugha na tamaduni. Na hakuna uhaba wa nchi zinazozalisha wachezaji na timu katika kilele cha mchezo huu.…