GG kwenye kubashiri mpira wa miguu inamaanisha “both teams to score” yaani timu zote mbili zitafunga goli angalau moja katika mechi.
Over/Under 0.5 inamaanisha kubashiri idadi ya mabao itakuwa zaidi ya 0.5 au chini ya 0.5. Kama unachagua “over 0.5”, basi angalau goli moja linapaswa kufungwa katika mechi ili ubashiri wako uwe sahihi. Kama unachagua “under 0.5”, maana yake ni hakuna goli itakayofungwa katika mechi.
Over/Under 1.5 inamaanisha kubashiri idadi ya mabao itakuwa zaidi ya 1.5 au chini ya 1.5. Kama unachagua “over 1.5”, basi angalau mabao mawili yatahitajika kufungwa katika mechi ili ubashiri wako uwe sahihi. Kama unachagua “under 1.5”, maana yake ni chini ya mabao mawili yatafungwa katika mechi.
6 Comments
Pingback: Egypt vs DR Congo , Tuusuke Hivi Ubashiri - Kijiweni
Pingback: Ligi Bora Za Kubetia Kufungana GG 2024 - Kijiweni
Pingback: Nini maana ya Anytime Goalscorer Katika Betting? - Kijiweni
Pingback: Mkeka wa Leo Jumatatu Wa Ushindi Mkubwa - Kijiweni
Pingback: Mkeka Wa Leo Ijumaa Anza Wikiendi Kibingwa - Kijiweni
Pingback: Mkeka Wa Leo Alhamis 18/04/2024 Wa Kibingwa - Kijiweni