Karibu sana kwenye mkeka wa leo Jumamosi kutoka Kijiweni ambapo tunaingia wikiendi na timu hizi za ligi mbalimbali.Kumbuka kuupitia na kuongeza au kupunguza timu kwa vile ambavyo unaona inafaa ili kuweza kushinda lakini kubwa zaidi kumbuka kubashiri kwa kiasi kwani siku zote sio mikeka yote itakupa uhakika wa ushindi moja kwa moja.
Celta Vigo – Las Palmas
Double Chance: (1X)
Sparta Prague – Ostrava
Sparta Prague Win
TPS – Mikkeli
TPS Win
FC Koln – Darmstadt
FC Koln Win
Heidenheim – RB Leipzig
RB Leipzig Win
Luton – Brentford
Brentford Win
Sheffield Utd – Burnley
Double Chance: (X2)
Cardiff – Southampton
BTS & Total: (Yes & Over 2.5)
Rotherham – Birmingham
Birmingham Win
Bolton – Port Vale
Bolton Win
Portsmouth – Wigan
Portsmouth Win
Dundee Utd – Ayr
Dundee Utd Win
Rayo Vallecano – Osasuna
Goal Between 1 – 15 Mins: (No)
Ingolstadt – Duisburg
DC & BTS: (1X & YES)
Den Haag – Eindhoven FC
Den Haag Win
Hebar – Ludogorets
Ludogorets Win
Wolfsberger AC – A. Lustenau
Wolfsberger AC Win
Orlando Pirates – AmaZulu
Orlando Pirates Win
Empoli – Napoli
Double Chance: (X2)
Servette – Grasshoppers
1X2 & BTS: (1 & YES)
Westerlo – St. Liege
Total: (Over 2.5)
Manchester City – Chelsea
1X2 & Total: (1 & Over 1.5)
Union Berlin – Bayern Munich
1X2 & Total: (2 & Over 1.5)
Valencia – Betis
1st Half Total: (UNDER 1.5)
Maastricht – Willem II
1X2 & BTS: (2 & YES)
Levski Sofia – Beroe
Levski Sofia Win
Gent – KV Mechelen
Gent total: (Over 1.5)
Wolves – Arsenal
Arsenal Win
Lens – Clermont
Lens Win
Girona – Cadiz CF
Girona Win
Bila shaka umeziona mechi zote ambazo tumekuandalia katika mkeka wa leo na kazi ni kwako sasa katika kuhakikisha kuwa unachagua kampuni ambayo unadhani una bahati nayo nzuri katika kuweka mikeka yako ya ushindi. Kumbuka hairuhusiwi kushiriki katika michezo ya ubashiri kama uko chini ya miaka 18 na weka mikeka yako kwa kiasi ambacho unadhani hata ukikipoteza itakua rahisi kukipata
Mkeka huu tumeandaa kama ambavyo huwa unaandaa wewe hivyo hatukupi 100% ya ushindi kutoka kwetu zaidi sana chaguzi za timu ambazo tunaziona zina uwezekano mkubwa wa kuleta matokeo kwa kile ambacho tunakua tumekiandaa katika option husika.
SOMA ZAIDI: Nini Maana Ya Match Result and GG Katika Betting?
6 Comments
Good one
Kijiweni mnajuaa sanaaa.. Much appreciated admin unafanya Kaz Yako vizuri.. Nakubal kazi Yako since day one💪💪🔥🔥💯💯
Cool
Adimini zote zako👍🏾👍🏾👍🏾
Respect
Msaada jamani kama kuna mtu anaweza kunielekeza opshen za izi team sija elewa game ya Cardiff. Osasuna.willem 11. Selvette na duisburg