Karibu sana kwenye mkeka wa leo Ijumaa kutoka Kijiweni ambapo tunaianza wikiendi na timu hizi za mataifa mbalimbali ambapo ni mechi za mapema kabisa.Kumbuka kuupitia na kuongeza au kupunguza timu kwa vile ambavyo unaona inafaa ili kuweza kushinda lakini kubwa zaidi kumbuka kubashiri kwa kiasi kwani siku zote sio mikeka yote itakupa uhakika wa ushindi moja kwa moja.
Adelaide Comets – Para
Adelaide Comets Win
Adelaide City – FK Beograd
Adelaide City Win
Belarus U21 – Greece U21
Greece U21 Win
Azerbaijan U21 – England U21
Halftime/Fulltime: (2/2)
Charlton U21 – Colchester U21
1X2 & Total: (1 & Over 1.5)
Montenegro U21 – Armenia U21
Montenegro U21 Win
Germany U21 – Kosovo U21
Halftime/Fulltime: (1/1)
Italy U21 – Latvia U21
Halftime/Fulltime: (1/1)
Wales U21 – Lithuania U21
Halftime/Fulltime: (1/1)
Luxembourg U21 – Serbia U21
Serbia U21 Win
Sunderland U21 – Leicester U21
Sunderland U21 Win
Middlesbrough U21 – Newcastle Utd U21
DC & BTS: (1X & YES)
Bila shaka umeziona mechi zote ambazo tumekuandalia katika mkeka wa leo na kazi ni kwako sasa katika kuhakikisha kuwa unachagua kampuni ambayo unadhani una bahati nayo nzuri katika kuweka mikeka yako ya ushindi. Kumbuka hairuhusiwi kushiriki katika michezo ya ubashiri kama uko chini ya miaka 18 na weka mikeka yako kwa kiasi ambacho unadhani hata ukikipoteza itakua rahisi kukipata.
Mkeka huu tumeandaa kama ambavyo huwa unaandaa wewe hivyo hatukupi 100% ya ushindi kutoka kwetu zaidi sana chaguzi za timu ambazo tunaziona zina uwezekano mkubwa wa kuleta matokeo kwa kile ambacho tunakua tumekiandaa katika option husika.
Unaweza kupitia zaidi kuhusu dondoo na jinsi ya kujifunza kubashiri kwa kupitia kwenye CHUO CHA KUBETI kwa kugusa hapa
SOMA ZAIDI; Nini Maana Ya 1×2 Katika Betting?