Zikiwa zimebakia wiki kadhaa kwa ajili ya michuano ya AFCON itakayofanyika nchini Ivory Coast tayari zipo baadhi ya nchi ambazo zimekwishataja vikosi vya wachezaji 22 watakaoenda katika michuano hiyo na hapa tutazame baadhi ya nchi ambazo tayari washataja vikosi vyao na utasema mwenyewe kipi una kipa nafasi kubwa ya kutwaa ubingwa wa Afcon wa mwaka 2023 unaofanyika Januari 2024 nchini Ivory Coast.
IVORY COAST
SENEGAL
SOUTH AFRICA
TUNISIA
MOROCCO
DRC
CAMEROON
Michuano ya AFCON 2023 inatarajiwa kuanza kutimua vumbi kuanzia tarehe 12.01.2024 katika nchi ya Ivory Coast na hii ni baada ya kupelekwa mbele ili kupisha kipindi cha mvua kubwa kisiharibu ladha ya kandanda la bara la Afrika.
Endelea kufuatilia taarifa zetu mbalimbali kuhusu AFCON 2024 kwa kugusa hapa.